Tanki
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 538
- 246
Vyombo vingi vya habari vilitangaza juu ya shindano la uchoraji kwa taasisi za kielimu. Shindano hilo liliandaliwa na IMAGE PROFESSION ikishirikiana na IMAGE PROFESSION. Mada kuu ilikuwa ni ART IMMITATES LIFE. Wanafunzi hadi wa chekechea wakashiriki kwenye hili shindano. Shindano lilianza mwaka jana ( mwezi wa kumi ) na ikatangazwa kuwa washindi wangetangazwa mwezi wa tatu mwaka huu. Lakini hadi sasa huu ni mwezi wa saba bado hawajatangazwa. Wanafunzi wanaendelea tu kusubiri. Kimya kinazidi kutawala. JE, NDO,TUSEME BARAZA LA SANAA na IMAGE PROFESSION MMEWATELEKEZA WANAFUNZI????????