Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Naibu Rais wa Kenya aliugua muda mchache kabla yakwenda kwenye baraza la Senate. Lakini pamoja na kuugua wajumbe wa baraza wameamua kupiga kura na kumwondoa bila kumsikiliza.
Je, Naibu Rais anaweza kutumia mapungufu haya kwenda kukata rufaa kupinga maamuzi haya? Je, Rufaa anakata kwa nani?
Je, Naibu Rais anaweza kutumia mapungufu haya kwenda kukata rufaa kupinga maamuzi haya? Je, Rufaa anakata kwa nani?