Uchaguzi 2020 Baraza la Uongozi la CHADEMA Mkoa wa Mbeya lakutana na watia nia wa Ubunge na Udiwani

kikao njaa tupu hawana hata kachupa ka maji ka shilingi mia mkononi
Ccm raha sana. Ingekuwa CCM hapo angepigiwa simu tajiri mmoja akatishiwa kupelekkewa Maafisa wa TRA asipohudumia kikao kwa maji na soda.
 
Wakifanyia mlimani city na drinks mnawasema wanafuja hela, wakifanyia sehemu simple bila drinks mnawasema pia. Sijui chadema wafanye lipi mtulie
miaka yote hamjajenga kumbi zenu? mabilioni ya ruzuku mnayopata mnashindwa kujenga hata mabanda ya miti mkaezeka majani mtumie kama kumbi za mikutano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…