Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kati ya vitu sitaki kusikia ni vikao visivyo na tija vya baraza la usalama la UN. Nimewaza hawa jamaa kila siku vikao nani anawalipa hizo perdiem na matumizi mengine.
Hawa mabwana wanaona Palestina tu pale Congo wamekufa watu kama nzi kimya kabisa. M23 imewashinda mtaiweza Israel kweli? Ukraine Urusi anaua kila siku mmekaa kimya hamna msaada mnaona leo hii Rafah.
Sudan watu wanateketeea kama kuku mko kimya mnakalia vikao vya Rafah.
Nasema Israel piga hao Rafah mpaka hili baraza liheshimu binadamu wote ni sawa. Hutosikia wanajadili hali ya Africa kamwe wao ni hukohuko wanakimbilia vikao. Netanyahu piga hao.