Inaumaasanaaa majuzi wamekaaa zaidi ya vikao 7 leo tena ati saanane wanakutana kujadili rafah nasema Israel piga haoo mpaka dunian tupendane tukiwa hai kwa usawaNaunga mkono hoja.
ile ni project ya mzungu babaKati ya vitu sitaki kusikia ni vikao visivyo na tija vya baraza la usalama la UN. Nimewaza hawa jamaa kila siku vikao nani anawalipa hizo perdiem na matumizi mengine.
Hawa mabwana wanaona Palestina tu pale Congo wamekufa watu kama nzi kimya kabisa. M23 imewashinda mtaiweza Israel kweli? Ukraine Urusi anaua kila siku mmekaa kimya hamna msaada mnaona leo hii Rafah.
Sudan watu wanateketeea kama kuku mko kimya mnakalia vikao vya Rafah.
Nasema Israel piga hao Rafah mpaka hili baraza liheshimu binadamu wote ni sawa. Hutosikia wanajadili hali ya Africa kamwe wao ni hukohuko wanakimbilia vikao. Netanyahu piga hao.
Nasikia wanapunguzaa populationile ni project ya mzungu baba
UN wameandika document had wamechoka
When africans are dying no one gives a JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala
Sijui ila najua wanataka madini yale haijalishi watakufa wangapNasikia wanapunguzaa population
Kwa sababu ni ngozi nyeusi hamna mtu anapiga kelele…Darfur Waafrika wanauwawa na Waarabu katika mauaji ya kimbari.
Ahaa!!! Kumbe!Kwa sababu ni ngozi nyeusi hamna mtu anapiga kelele…
Huwezi kupewa uthamanj bila wewe kujipa huo uthamani.Mwafrika ni ngumu sana kupewa thamani sababu mwenyewe hajipi thamani.Unakuta taifa lina matatizo mengi ambayo chanzo ni sisi wenyewe mfano ni hapo Somalia wanacho pigania ukifuatilia kiundanj ni upumbavu tu even Sudan.Wazungu wanafiki sana wanatuona waafrica kama manyani hatuna thamani yyte kwao, huko US kwenyewe unakuta mtu ni raia kabisa ila kwakuwa ni ngozi nyeusi anabaguliwa.
Piga hizo mbwa za kiarabu,ua zote hizo kimaKati ya vitu sitaki kusikia ni vikao visivyo na tija vya baraza la usalama la UN. Nimewaza hawa jamaa kila siku vikao nani anawalipa hizo perdiem na matumizi mengine.
Hawa mabwana wanaona Palestina tu pale Congo wamekufa watu kama nzi kimya kabisa. M23 imewashinda mtaiweza Israel kweli? Ukraine Urusi anaua kila siku mmekaa kimya hamna msaada mnaona leo hii Rafah.
Sudan watu wanateketeea kama kuku mko kimya mnakalia vikao vya Rafah.
Nasema Israel piga hao Rafah mpaka hili baraza liheshimu binadamu wote ni sawa. Hutosikia wanajadili hali ya Africa kamwe wao ni hukohuko wanakimbilia vikao. Netanyahu piga hao.
Kwa nn tuuane wenyeweHata sisi Waafrika tuna shida sana wenzetu wanakufa hata Sudan tuko kimyaaa