Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) limetangaza maandamano kwenda Ikulu

Tony Gwanco

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
5,913
Reaction score
1,219
magazeti ya leo yamewanukuu viongozi wa BAWACHA wakiapa kuandamana hadi ikulu kwa rais kushinikiza bunge la katiba kuvunjwa

hali hii ni baada ya makada wa kiume walio hamasisha maandamano ya kwanza nchi mzima kushindwa kwa asilimia 100

my take.chadema wameamua kutumia huruma za polisi kwa manawake ili kuvunja amani.
kutumia harakati za kudai haki za wanawake kujijenga kisisa
mnataka kutafuta kesi za kusingizia ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia

onyo.hatutavumilia maandamano hata ya sisimizi kuigeuza nchi yetu kuwa nchi ya vurugu
==========================================


Chanzo:Mwananchi
 

Duh! Jamani huyo wa picha ya juu na huyo wa chini wameinamisha mpododo ndio kuonyesha nini sasa! Au uriberali huo!? Nadhani Halima Mdee baada ya kugundua sura yake haina mvuto, ameona aende wakamng'oe na meno kabisa apate gia ya kutoka kisiasa, kila la heri.
 
Yaani wewe ni shallow sana....picha si za BAWACHA,habari ni ya BAWACHA. Ilimradi tu uwahi buku saba za leo. Aibu!

chanzo .magazeti ya leo .mpigie simu dada yako mdee akikanusha nahamia cdm leoleo
 
Tony umekurupuka ndugu yangu kumpinga Petro sasa soma tena uelewe kaandika nn……!!
 
Last edited by a moderator:
Tony soma headline hiyo
 
Last edited by a moderator:
Baraza la Wanwake CHADEMA (BAWACHA) au baraza la WASICHANA CHADEMA (BAWASICHA). ebu nielewisheni, Halima Mdee ana umri gani? ameolewa? ana mtoto?
 
Hawo wanawake kwenye picha wa CHADEMA ni Halima tu. Wengine hao ni wa CUF. Lakini BAWACHA sio taasisi ya CHADEMA? Kwa akili yako ndogo unaweza kusema CHADEMA wameshindwa, lakini wanaoelewa CHADEMA wameshinda. Sababu hakina sehemu ambayo CHADEMA haitajwi wiki hizi mbili tangu tarehe 14/9/2014 iwe kwa kuandamana wana CHADEMA au Maandamano ambayo Polisi wanayafanya Miji yote Tanzania. Wanapozunguka wengi wengi hatawatu wasiojua kwamba CHADEMA wana nia ya kuandamana na kupeleka ujumbe wanajua. Kwasababu huulizana "kwanini Polisi wengi hivi" wanajibiana kwamba "ni kwasababu CHADEMA wanataka kuaandamana". Hawaishi hapo wanauliza tena "kuna nini hadi waandamane?" majibu wanapeana kwamba wanapinga BMK na mambo mengine ya ibaguzi. So automatically ujumbe unafika kwa kila mtu.
 

polisi waliwazuia mkasema woga ni dhambi kubwa mwishowe mkalala mbel

jibu hoja kwanini ameamua kuwapa go ahead wanawake waandamane kwa road nyie mandamane mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…