Baraza la Wawakilishi Laridhia Hoja ya Kuundwa Kwa Serikali ya Kitaifa Mwaka Huu

Allien

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2008
Posts
5,546
Reaction score
1,861
Source: http://issamichuzi.blogspot.com/

Sijui itakuwa vipi:

Chiligati alihojiwa jana akadai Msimamo wa CCM ni kuwa mseto ni baada ya Uchaguzi.

Sasa Baraza limekubali hoja ya CUF . . . . .

Kila la heri Wazanzibari.
 
Sijui itakuwa vipi:

Chiligati alihojiwa jana akadai Msimamo wa CCM ni kuwa mseto ni baada ya Uchaguzi.

Sasa Baraza limekubali hoja ya CUF . . . . .

Kila la heri Wazanzibari.

Allien....
Chiligati hana tofauti na Comical Ali....
 
Allien....
Chiligati hana tofauti na Comical Ali....

Mkuu hii ni ngoma nzito sana.

Naona CCM Zanzibar na Baraza la Wawakilishi wameamua kuwatosa CCM bara na siasa zao za kuwaburuza na mabavu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…