Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Baraza la wasanii CHADEMA maarufu kama BAVICHA leo katika mkutano wao wa kuadhimisha siku ya wazee duniani wameoneshwa jinsi wanavyokereka na tabia wanazoonesha vijana kwenye mwendokasi.
Soma pia: BAWACHA watangaza kuchoma vitenge walivyopewa kama zawadi na Rais Samia mwaka jana
Wakati anazungumza, mmoja wa wazee wa Baraza hilo amedokeza kuwa tabia ya vijana kukaa kwenye siti ilhali wazee wamesimama kwenye mwendokasi si ya kupendeza na kuongeza kuwa serikali inatakiwa kuwawekea wazee eneo maalum kwenye mwendokasi.
"Wazee wamekuwa wakinyanyaswa, hawapewi misadaa na kimsingi hawana mfumo wa kuwasaidia yaani supprorting system matokeo yake tunaona wazee hata kwenye usafiri wa umma na hasa kwenye mabasi ya mwendokasi hapa Dar Es Salaam, wazee wanakosa viti vya kukaa huku vijana wakiwa wamekalia viti bila kuwapisha."
Ujumbe huo wa BAZECHA waliongeza kwa kusema:
"Kwa hiyo tunaitaka serikali kuwatengea eneo maalum wanalokaa wazee kama ambavyo wametengewa watu wenye ulemavu"
Source: The Chanzo