Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 473
- 1,682
Mbona wengi hawatakuwep kwenye vyeo...Nitafurahi sana Baraza la Mawaziri likiwa hivi, watu wa kazi kabisa hawa
1. Pro Kitila Mkumbo Waziri Mkuu
2.Jumaa Aweso Waziri wa Maji
3. Hussein Bashe Waziri wa Kilimo
4. David Kafullila Waziri wa Mipango na Uwekezaji
5 Waziri wa Viwanda na Biashara Kadogosa
6 Michezo na Utamaduni Prof Palamagamba
7 Antony Mavunde Madini
8. Lukuvi arudishwe ardhi
9 Nishati Januari Makamba
10.Ulega abakie Ujenzi
11. Paulo Makonda Mambo ya Ndani akashughulike na mpuuzi Heche
12. Mawasiliano Prof Makame
13. Mambo ya Nje aendelee huyu wa sasa
14.Albert Chalamila sende Tamisemi akakomeshe urasimu na nidhamu ktk Halmashauri
15 Waziri wa Sheria atafutwe mwingjne
Kikosi hiki hata Barcelona anakufa
Nepotism iliyopo nchini tutegemee makubwaBaada ya UCHAFUZI Abduli atakuwa Waziri wa fedha.
Unavutaga bangi zako maeneo hatarishi kama chooni14.Albert Chalamila - Tamisemi akakomeshe urasimu na nidhamu ktk Halmashauri
Nao hawana wapinzani wa kijani huko kwao?Nitafurahi sana Baraza la Mawaziri likiwa hivi, watu wa kazi kabisa hawa
1. Pro Kitila Mkumbo - Waziri Mkuu
2. Jumaa Aweso - Waziri wa Maji
3. Hussein Bashe - Waziri wa Kilimo
4. David Kafullila - Waziri wa Mipango na Uwekezaji
5 Waziri wa Viwanda na Biashara - Kadogosa
6 Michezo na Utamaduni - Prof Palamagamba
7 Antony Mavunde - Madini
8. Lukuvi arudishwe ardhi
9 Nishati - Januari Makamba
10.Ulega abakie - Ujenzi
11. Paulo Makonda - Mambo ya Ndani
12. Mawasiliano - Prof Makame
13. Mambo ya Nje aendelee huyu wa sasa
14.Albert Chalamila - Tamisemi akakomeshe urasimu na nidhamu ktk Halmashauri
15 Waziri wa Sheria atafutwe mwingine
Kikosi hiki hata Barcelona anakufa
Ndoto zake za Mchana,hazijawahi Kuwa kweli!Juisi ya embe chupa ya Jack Daniel.