Bagrameshi
Senior Member
- Jun 22, 2012
- 131
- 43
kwa ushenzi zaidi wanatoa ratiba ya vipindi vya redio kwa masomo ya shule ya msingi, du huu ni ufyongo mzaz tembelea tovuti yao uone kilichowekwa leo saa kumi hii
teh teh teh, mkubwa umenifurahisha sana tusubir wapakie mzaz
labda ndo wanapakia maana moe kwa sasa haifunguki
Wakuu msiwe na wacwac taarifa nilizopata ni kwamba majina yamechelewa kutokana na udanganyifu uliofanyika hivyo wakaanza upya na kufikia Jana wamekamilisha hivyo kati ya ucku wa kuamkia j mosi mbaka j4 ishu itakuwa realized