Ndugu wana jamii forum habari nlizonazo na za kuaminika ni kuwa baraza la katiba Halmashari ya Moshi linaanza kukutana rasmi tarehe 20 mpaka 22 mwezi huu wa July 2013 katika ukumbi wa Umoja Hostel. Nauli na Malazi vitarejeshwa kwa wahusika!! Vipi kwingine jamani?