Umejuwaje?Haisemi Simba, acha ukilaza !!.
mwanamke hupayuka linapokuja suala la Hisia , Huu ujumbe wake ni mahususi Kwa Mtu wake walozaa naye !!.
.Amezaa na nani mkuu??
January Makamba.Amezaa na nani mkuu??
Hivi huyu demu ana bwana?HILI JIWE KATUPIWA KAKA GANI ?
Ameamdika aliyekuwa CEO wa Simba, Barbara Gonzalez
[emoji1600] Binaadamu tunatatizo la kusahau. Hakuna mwenye cheo cha milele! Ubabe utafikia kikomo chake. Kiburi ni cha muda tu. Dharau zina mwisho wake.
Kua mpole Kaka. Power and influence is temporary!
source: WASAFI
Je ukoloni pale Pana Nini??[emoji23][emoji23]View attachment 2694292
Mbu mbu mbuuuuu fcBarbara akitoa maoni KABWILI FC mnachukulia anawasema VIONGOZI WA Simba.
Akili za UTOPOLO ndogo sana
KABWILI FC.
Hilo dongo ni kwa Haji Manara ambaye hana title yoyote hapo utopoloniHILI JIWE KATUPIWA KAKA GANI ?