Kuna relation gan hapoKampiga dongo kaka Albert Bashite itakua!
Hapana mkuu....sio Kila mtu anatumia Twitter. So tunajaribu kushare infoMbona kama umekua shihata bwana Laban..maana unamfatilia Barbra kila anapotweet..kwa akili yako unaona kama anamsema nani labda...unatafuta faraja?
Mkuu pale ukoloni Nini kinaendeleaJamaa naona kawa mke mwenza wa Barbara.Kila akipost jamaa analeta nadhani wanagombea bwana.
Tutajua tu mkuu....Hivi huyu demu ana bwana?
Au mwamedi alikuwa bwana wake nini?
Manara ...... alikuwa na title gan ya kumzingua CEO???Hilo dongo ni kwa Haji Manara ambaye hana title yoyote hapo utopoloni
Kaka Bashite hujui alikua nani pale Simba?
Kwa hiyo kila akiongea ni dhidi ya Msimbazi? What if amemlenga Makonda?HILI JIWE KATUPIWA KAKA GANI ?
Ameamdika aliyekuwa CEO wa Simba, Barbara Gonzalez
[emoji1600] Binaadamu tunatatizo la kusahau. Hakuna mwenye cheo cha milele! Ubabe utafikia kikomo chake. Kiburi ni cha muda tu. Dharau zina mwisho wake.
Kua mpole Kaka. Power and influence is temporary!
source: WASAFI
Je ukoloni pale Pana Nini??[emoji23][emoji23]View attachment 2694292
Hakuwa na title yeyoteKaka Bashite hujui alikua nani pale Simba?
CEO hakuwa politicianKwa hiyo kila akiongea ni dhidi ya Msimbazi? What if amemlenga Makonda?
Mku.....Nn kina happen hapo ukoloniJf ishakuwa kijiwe cha cheap stories!
Inaonekana huwa unangojea kwa hamu sana tweet za mwanamke mwenzio.
Endelea kutujuza boss, kupanga ni kuchagua ushakuwa vile!