Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Matatizo yapo pote ndugu yanguMshana Jr kuna Tatizo huko kwenu mzee.
Hayo umesema wewe.Division babra human Maisha yake anaihusu Simba... kila atakachopost ni kwa ajili ya Simba tu?
Matatizo ni kama makalio kila mtu anayo yanazidiana size tuMshana Jr kuna Tatizo huko kwenu mzee.
Nani kaitaja Simba hapo ndugu?! Mbona unakurupuka kama DP...!KILA POSTI YA BABRA INAIHUSU SIMBA.
AKILI NDOGO ZINA SHIDA SANA.
HAKIKA WE YE AKILI NI WAWILI TU.
Chuprichupri alitoa boko kwel kutoinyandua hii pisi
Maneno ya busara sana haya!!
Kweli wewe ni taahira sasa wapi imetajwa simba?KILA POSTI YA BABRA INAIHUSU SIMBA.
AKILI NDOGO ZINA SHIDA SANA.
HAKIKA WE YE AKILI NI WAWILI TU.
Umeleta ya nini huku JLSKweli wewe ni taahira sasa wapi imetajwa simba?