Barbara katukanwa matusi ya kila aina kumbe jezi zilkuwa tayari wakiwa Misri

Barbara katukanwa matusi ya kila aina kumbe jezi zilkuwa tayari wakiwa Misri

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Mara uzembe, hakujua kama sponsor anabadilishwa? jezi kweli zimechelewa lakini ni nani alijua kwamba tangu wakiwa Misri video/photoshoot za wachezaji zilifanyika kule?

Laiti kama Sope Takadini angekuwepo zingeshavuja muda mrefu, kwa hili la kubana mianya ya kuvuja aisee hongereni sana, nimeipenda third kit na ile nyekundu zaidi
 
Attachments

  • FZi0402XgAUwCC-.jpg
    FZi0402XgAUwCC-.jpg
    29.3 KB · Views: 6
Mara uzembe, hakujua kama sponsor anabadilishwa? jezi kweli zimechelewa lakini ni nani alijua kwamba tangu wakiwa misri video/photoshoot za wachezaji zilifanyika kule?

Laiti kama sope takadini angekuwepo zingeshavuja muda mrefu, kwa hili la kubana mianya ya kuvuja aisee hongereni sana, nimeipenda third kit na ile nyekundu zaidi
Kwa huu Uzi wa Simba, takadini akiupeleka pale TFF nina uhakika kifungo chake kitasamehewa😀
#simba nguvu moja
 
Babra anafaa sana kurithi mikoba ya Kinana kwa umaridadi wa Mikakati

ule uswahili uswahili wa Manara wanawezana na wenzie kina Hersi
 
Babra anafaa sana kurithi mikoba ya Kinana kwa umaridadi wa Mikakati

ule uswahili uswahili wa Manara wanawezana na wenzie kina Hersi
Yaani hersi kanishangaza sana nilikuwa nadhani ni mtu smart, wakati nazidi kushangaa nashangaa makamu wake Arafat mwajiriwa serikali naye, bado kuna Patrick simon, mbona hawafananinii na ujinga wao?
 
Mara uzembe, hakujua kama sponsor anabadilishwa? jezi kweli zimechelewa lakini ni nani alijua kwamba tangu wakiwa Misri video/photoshoot za wachezaji zilifanyika kule?

Laiti kama Sope Takadini angekuwepo zingeshavuja muda mrefu, kwa hili la kubana mianya ya kuvuja aisee hongereni sana, nimeipenda third kit na ile nyekundu zaidi
Simba Ni taasisi makini
 
Yani uongozi wa simba umetutendea haki sisi mashabiki. Yani wapinzani hawaamini macho yao
 
Jenta muda huu anaugulia maumivu
 
Back
Top Bottom