SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
Haji Sunday Manara ameishi Simba kwa kudra ila sio kwa sifa na weledi. Kwenye eneo la weledi tumuache mkurugenzi mtendaji mwanamke Barbara afanye kazi na apange safu kwa ustawi wa Simba.
Haji ameona amekuwa maarufu kuliko klabu na mtu yoyote akae kando aache Simba ya mabadiliko isimame.
Kwanza ni snitch anapenda sana kukaa na watu wa GSM hata wakati wa mechi baina yetu...mara ngapi ameingia kwenye migogoro na wanahabari hata kutaka kuichafua chapa ya klabu yetu...yote ni maarifa madogo. Tunaomba apumzike imetosha...amuache Mo na Barba waipange safu ya mabadiliko ya Simba ya kisasa!
Bye Manara, humuwezi simba jike, strong lady Barbara.