SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
Manara haifai kwasasa ndani ya SimbaManara kakosea ndiyo,ila mbona kama una lako na Manara
Hapa ndo kwenye kiini cha mzozo wa pisikali na Mthungu wa Kariakoo.Lakini haijakaa poa kwa msemaji wa Simba kuwa na mkataba na GSM na Azam. Haijakaa sawa kabisa.
ukiona mtu anapiga sana domo ujue hana hoja na kabanwa kwenye kona ya mlango sasa anajisafisha ili kikinuka iwe ndio justification. kama wewe ni kidume si ubishane naye kwa hoja, au unaogopa mwanamke?Haji Sunday Manara ameishi Simba kwa kudra ila sio kwa sifa na weledi. Kwenye eneo la weledi tumuache mkurugenzi mtendaji mwanamke Barbara afanye kazi na apange safu kwa ustawi wa Simba.
Haji ameona amekuwa maarufu kuliko klabu na mtu yoyote akae kando aache Simba ya mabadiliko isimame.
Kwanza ni snitch anapenda sana kukaa na watu wa GSM hata wakati wa mechi baina yetu...mara ngapi ameingia kwenye migogoro na wanahabari hata kutaka kuichafua chapa ya klabu yetu...yote ni maarifa madogo. Tunaomba apumzike imetosha...amuache Mo na Barba waipange safu ya mabadiliko ya Simba ya kisasa!
Bye Manara, humuwezi simba jike, strong lady Barbara.
Hoja ya msingi hapa sio uanamke wa Barbra wala mdomo wa Manara bali ni weledi......Kama una hoja ya msingi kuhusu weledi wa Barbra weka hapa hadharani kama ambavyo ameweka mtoa mada ili tubalance kwenye mizania ya weledi baina yao.......lakini mpaka sasa mzani umelalia kwa Manara kwa audio clip inayosambaa mitandaoni.......Barabara ana uweledi upi?
Au kwakuwa details za madudu yake hazipo kwenye media?
Barabara ana advantage kubwa Tu kuwa ni mwanamke halafu mrembo baasi..
Vidume vingi vitamkingia kifua
Na Manara anajulikana kwa maneno na makelele ..so obvious chochote atakacho ongea itakua 'ah huyu tunamjua kwa kelele'..
But deep down kuna kitu hakiko Sawa kabisa..
Tatizo liko so deep