Hata Milan waliwahifanya hivyo wakati wa Arigo Sacchi walipoteuliwa Ruud Gullit, Marco van Basten na Frank Rijkaardt na mwaka uliofuata wakawa Franco Baresi, Marco van Basten na Frank Rijkaardt. Hii Gang Chomba anaijua vizuri.
Nadhani hii huwa ni zawadi hasa timu inapokuwa at its best form