ngoja waje uone
khe khe khe heheheeeeeeeeeee
mkuu hili pute halina mjadala kabisa yaani. hata waende loliondo leo ni kibano tu.ngoja waje uone
khe khe khe heheheeeeeeeeeee
Barca win 3-0
kwa hili i am taking you seriously
niko nou camp live, nitakurushieni kinachojiri. muskonde kabisa yaanikwa hili i am taking you seriously
tunaomba usije ukakimbia sredi kwa excuse ya tanesco. hapa namuona iniesta na mzee chavi wanacheka tu.huyo Klorokwini akikua ataacha.....:mullet:
tunaomba usije ukakimbia sredi kwa excuse ya tanesco. hapa namuona iniesta na mzee chavi wanacheka tu.
mkuu upo?:hand:
Ayaaaah!! Tanesco......