Barca Vs. Arsenal at Camp Nou

As far as I'm concerned, I prefer silent vice to ostentatious virtue.:rain:
 
KBC is also showing this match LIVE!
 
As far as I'm concerned, I prefer silent vice to ostentatious virtue. :rain:

mzee wenger kaja na formation ya berlin leo, lakini wataachia tu

yaani hata huyo mkuu ha-support Arsenal?? kazi kweli kweli!!!

we unafikiri kwa kua nyie mliachia na sisi tutaachia? lets see!!!
 
hehehe almunia in da hauzi. movie litaanza muda si mrefu
 
hapa si kwangu,ngoja niende kule kwetu...nimeshtuka sana kumuona........bye Kloro bye!!!
 
Asenali wakiendelea hivi wataweza kuhimili mikiki
 
yaani hata huyo mkuu ha-support Arsenal?? kazi kweli kweli!!!

we unafikiri kwa kua nyie mliachia na sisi tutaachia? lets see!!!

hapa si kwangu,ngoja niende kule kwetu...nimeshtuka sana kumuona........bye Kloro bye!!!
hehehe mkuu yuko barca, washabiki wa barca wote tuko safe kwenye hii sredi. kule kwenu tutahuzuria kutoa pole baada ya ushindi.
 
Asenali wakiendelea hivi wataweza kuhimili mikiki
mkuu kweli aisee, mpaka sasa barca hawajaimpress kabisa yaani. aaaargh tunahitaji the like of etoo hapa mbele bana , hawa wazembe wengine tunaibiana tu
 
Kweli kabisa.. Barca hawana tatics zaidi ya pasi fupi... Wanahitajika kufunguka na kurudi nyuma kupanua asenali
 
So far so good, but we're giving them too much possession of the ball.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…