Powell Gonzalez JF-Expert Member Joined Jun 28, 2023 Posts 1,662 Reaction score 3,017 Oct 2, 2025 #1 Barcelona 1 - 2 PSG, kuna watu wanaamini goli la pili ni Offside kwamba hadi VAR imefanya makosa! Ushabiki wa hovyo kabisa!
Barcelona 1 - 2 PSG, kuna watu wanaamini goli la pili ni Offside kwamba hadi VAR imefanya makosa! Ushabiki wa hovyo kabisa!
Adolfms JF-Expert Member Joined Nov 28, 2017 Posts 981 Reaction score 1,411 Oct 2, 2025 #2 Powell Gonzalez said: Barcelona 1 - 2 PSG, kuna watu wanaamini goli la pili ni Offside kwamba hadi VAR imefanya makosa! Ushabiki wa hovyo kabisa! Click to expand... Utakuwa ni wewe unaye amini hivo
Powell Gonzalez said: Barcelona 1 - 2 PSG, kuna watu wanaamini goli la pili ni Offside kwamba hadi VAR imefanya makosa! Ushabiki wa hovyo kabisa! Click to expand... Utakuwa ni wewe unaye amini hivo
Powell Gonzalez JF-Expert Member Joined Jun 28, 2023 Posts 1,662 Reaction score 3,017 Oct 2, 2025 Thread starter #3 Adolfms said: Utakuwa ni wewe unaye amini hivo Click to expand... I am madrid Fan!
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,803 Reaction score 24,943 Oct 2, 2025 #4 Powell Gonzalez said: Barcelona 1 - 2 PSG, kuna watu wanaamini goli la pili ni Offside kwamba hadi VAR imefanya makosa! Ushabiki wa hovyo kabisa! Click to expand... Joselu aliwahi kuwafunga bayern kwa style ileile ya mpira kuhusishwa mchezoni na sio mchezaji
Powell Gonzalez said: Barcelona 1 - 2 PSG, kuna watu wanaamini goli la pili ni Offside kwamba hadi VAR imefanya makosa! Ushabiki wa hovyo kabisa! Click to expand... Joselu aliwahi kuwafunga bayern kwa style ileile ya mpira kuhusishwa mchezoni na sio mchezaji
KOROSHO BOMBA Senior Member Joined May 11, 2024 Posts 186 Reaction score 313 Oct 2, 2025 #5 Powell Gonzalez said: Barcelona 1 - 2 PSG, kuna watu wanaamini goli la pili ni Offside kwamba hadi VAR imefanya makosa! Ushabiki wa hovyo kabisa! Click to expand... Hao wanaolalamika labda hawaijui Sheria ya offside. Endapo utakua mbele ya mchezaji wa mwisho wa timu pinzani, ili uwe onside unatakiwa uwe nyuma ya mpira. Mfungaji wa bao G. Ramos alikua nyuma ya mpira hivyo kuiua offside na kua bao halali.
Powell Gonzalez said: Barcelona 1 - 2 PSG, kuna watu wanaamini goli la pili ni Offside kwamba hadi VAR imefanya makosa! Ushabiki wa hovyo kabisa! Click to expand... Hao wanaolalamika labda hawaijui Sheria ya offside. Endapo utakua mbele ya mchezaji wa mwisho wa timu pinzani, ili uwe onside unatakiwa uwe nyuma ya mpira. Mfungaji wa bao G. Ramos alikua nyuma ya mpira hivyo kuiua offside na kua bao halali.