Barcelona and Boca Juniors Live

Barcelona and Boca Juniors Live

Sol de Mayo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
6,515
Reaction score
6,230
Leo ni leo, Barcelona na miamba ya amerika ya kusini Boca Juniors.

🇪🇦Barcelona - Boca Juniors 🇦🇷

Wanakipiga saa mbili kamili za ucku katika uwanja wa King Saud University stadium, Ar-Riyad (Riyadh) nchini saudia Arabia.

images (10).jpeg
 
Boca ametwaa kombe la maradona kwa mikwaju ya penati 🏆

Baselona 1-1 Boca, penati 2-4
 
Maradona cup, friendly match
Mechi ya wavulana hiyo!! Tangu Messi atoke barca i ekuwa timh ya wavulana!! Imetolewa champions league kwenye hatua ya awali ya makundi, kwenye msimamo wa laliga iko mbali mno!! mwakani haitakuwepo kabisa kwenye UEFA zoge mbili!! Imethibitika barca ilikuwa na jeshi la mtu mmoja!!!
 
Haswaaa wala haujakosea chief. Messi alikuwa anaibeba timu tena sana sana. Watamkumbuka
 
Mechi ya wavulana hiyo!! Tangu Messi atoke barca i ekuwa timh ya wavulana!! Imetolewa champions league kwenye hatua ya awali ya makundi, kwenye msimamo wa laliga iko mbali mno!! mwakani haitakuwepo kabisa kwenye UEFA zoge mbili!! Imethibitika barca ilikuwa na jeshi la mtu mmoja!!!

Mbona huyo Mess kashindwa kuibeba psg?
Kafunga magoli mangapi na katoa assist ngapi toka ahamie huko?
 
Mbona huyo Mess kashindwa kuibeba psg?
Kafunga magoli mangapi na katoa assist ngapi toka ahamie huko?

Hufuatilii psg wewe,,,,

kingine ni mfumo bado haujakaa sawa sonce jamaa aingie pale,,na ictoshe wanambania passes,,sometimes ana2mia juhudi zake.

All in All haters 2rishawazoea
 
Hufuatilii psg wewe,,,,

kingine ni mfumo bado haujakaa sawa sonce jamaa aingie pale,,na ictoshe wanambania passes,,sometimes ana2mia juhudi zake.

All in All haters 2rishawazoea

Utetezi wa kiboya huu!
Eti mfumo hujakaa sawa, hivi mtu kama Neymar nae utasema ni mfumo ama utamtetea kwa majeruhi?
Ni utopolo mkubwa kusema anabaniwa pass, hizo anazozipata hata kama ni chache anazipata kwa kukaba? Hizo chache anazozipata nazo anazifanyia nini?
Kirikuu kwa sasa imebaki kidevu tu, hamna kitu hata kwenye timu ya taifa jina ndilo linalombeba kule! Ukweli ukisemwa mnasema ni haters...
Kirikuu kiwango kimeboronga, mtu sasa hata balance ya miguu hana, akipata mpira tu kucontol kwa sasa hawezi nao ni mfumo...!?
 
Back
Top Bottom