Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Michuano ipi?
Bocca jr
Dah barcelona imebakia kucheza mabonanza maisha haya ni magumu sana hahahahahaha
Mechi ya wavulana hiyo!! Tangu Messi atoke barca i ekuwa timh ya wavulana!! Imetolewa champions league kwenye hatua ya awali ya makundi, kwenye msimamo wa laliga iko mbali mno!! mwakani haitakuwepo kabisa kwenye UEFA zoge mbili!! Imethibitika barca ilikuwa na jeshi la mtu mmoja!!!Maradona cup, friendly match
Mechi ya wavulana hiyo!! Tangu Messi atoke barca i ekuwa timh ya wavulana!! Imetolewa champions league kwenye hatua ya awali ya makundi, kwenye msimamo wa laliga iko mbali mno!! mwakani haitakuwepo kabisa kwenye UEFA zoge mbili!! Imethibitika barca ilikuwa na jeshi la mtu mmoja!!!
Team imeanza kufanya vibaya Messi akiwepo.Haswaaa wala haujakosea chief. Messi alikuwa anaibeba timu tena sana sana. Watamkumbuka
Mechi ya wavulana hiyo!! Tangu Messi atoke barca i ekuwa timh ya wavulana!! Imetolewa champions league kwenye hatua ya awali ya makundi, kwenye msimamo wa laliga iko mbali mno!! mwakani haitakuwepo kabisa kwenye UEFA zoge mbili!! Imethibitika barca ilikuwa na jeshi la mtu mmoja!!!
Mbona huyo Mess kashindwa kuibeba psg?
Kafunga magoli mangapi na katoa assist ngapi toka ahamie huko?
Hufuatilii psg wewe,,,,
kingine ni mfumo bado haujakaa sawa sonce jamaa aingie pale,,na ictoshe wanambania passes,,sometimes ana2mia juhudi zake.
All in All haters 2rishawazoea