Barcelona atachukua kikombe UEFA,Laliga na Copa De Ley (treble) 2016-2017 tena

Kwa sasa hili halina mjadala....bado naamn la Liga lazma El classico iamue bingwa wa msimu huu....


Uefa anaeweza kutu umiza kichwa kidogo n buyern. Mun
 
Reactions: PNC
Hapo alipofika ndio mwisho wake.asubiri apangwe Na. Bayan au Madrid tu.njeee kuleee.timu yeymhewe bebwa bebwa fc
 
Lawama zote ziende kwa PSG sio mwamuzi....yaani hata mwamuzi angekuwa guardiola haiingia akilini world class team kama PSG kuruhusu goli 3 in 7mins
 
Iko wazi hiyo treble lamza mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…