Barcelona inambeba sana king lionel messi[emoji1787]

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Posts
16,627
Reaction score
38,689
Barcelona bila Lionel Messi katika mechi 6 za mashindano
Sare: 1-1 vs Inter Milan
Kipigo: 2-1 vs Levante
Kipigo: 2-0 vs Sevilla
Sare: 0-0 vs Huesca
Kipigo: 2-0 vs Celta Vigo
Kipigo: 1-0 vs Athletic Bilbao

Vipi huko mtaani kwenu ule ubishi kwamba barca wanambeba messi na sio messi anaibeba barca bado upo??

Barca bila messi ni kama real betis tu
 
Watabisha pamoja na kuja na Data.
Hii timu akitoka Messi na Bosquet ndio mwisho wao.
 
Barca bila.Messi ni Kama NYAU tu. Na walivyo wajinga wanajua messi hayupo badala ya kumpa countinho dimba awatembeze akina suar3z na grienman eti wakamuweka jukwaani.
 
Anaondoka yule
 
Watabisha pamoja na kuja na Data.
Hii timu akitoka Messi na Bosquet ndio mwisho wao.
Sasa mtu anamaliza na goli 40, na assist 20+ huyo hata akiwa kwenye timu yako akiondoka your done
 
Barcelona bila Lionel Messi katika mechi 6 za mashindano
Sare: 1-1 vs Inter Milan
Kipigo: 2-1 vs Levante
Kipigo: 2-0 vs Sevilla
Sare: 0-0 vs Huesca
Kipigo: 2-0 vs Celta Vigo
Kipigo: 1-0 vs Athletic Bilbao

Vipi huko mtaani kwenu ule ubishi kwamba barca wanambeba messi na sio messi anaibeba barca bado upo??

Barca bila messi ni kama real betis tu

Acha ulaza huo. Yani umeandika sare ya 1 - 1 dhidi ya Inter lakini hujaandika mechi walioshinda 2 - 0 dhidi ya hao hao Inter.
Mbona hujaieka 5 - 1 na Real Madrid???

Kiukweli mechi ya Bilbao na tena uwanjani kwao ni mechi ngumu sana. Unaonekanwa wewe kama ni EPL fan huzifahamu timu za La Liga.
 
Barca bila.Messi ni Kama NYAU tu. Na walivyo wajinga wanajua messi hayupo badala ya kumpa countinho dimba awatembeze akina suar3z na grienman eti wakamuweka jukwaani.
Alikuwa anakamilisha usajil wa kwenda Bayern[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sasa huu ubebaji wake akaufanye na huko Argentina, critics wanaposema Barca inambeba Messi wanamaanisha Messi anafanya vizuri tu ndani Ya Barcelona na sio nje ya Barcelona sio huo mfano wako ulioweka!!
 
Kumbe umenielewa vizuri Kuna watu wengine wameshindwa kunielewa.
 
Kila team ina focal point..., kwahio hata ukitengeneza gari ukaamua kwamba engine iwe inatumia gesi.., basi bila hio gesi gari haiendi

Kwahio mpaka ubadilishe mfumo..., hio sehemu ya Messi angewekwa hata mlingoti (kama team imetengenezwa around huo mlingoti.., kukosekana kwa mlingoti team haiendi)
 
Anaelewa vzuri mbona[emoji3][emoji3][emoji3].Wanajitoaga ufahamu tuu.

Back
Top Bottom