Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Watabisha pamoja na kuja na Data.Barcelona bila Lionel Messi katika mechi 6 za mashindano
Sare: 1-1 vs Inter Milan
Kipigo: 2-1 vs Levante
Kipigo: 2-0 vs Sevilla
Sare: 0-0 vs Huesca
Kipigo: 2-0 vs Celta Vigo
Kipigo: 1-0 vs Athletic Bilbao
Vipi huko mtaani kwenu ule ubishi kwamba barca wanambeba messi na sio messi anaibeba barca bado upo??
Barca bila messi ni kama real betis tu
Anaondoka yuleBarca bila.Messi ni Kama NYAU tu. Na walivyo wajinga wanajua messi hayupo badala ya kumpa countinho dimba awatembeze akina suar3z na grienman eti wakamuweka jukwaani.
Sasa mtu anamaliza na goli 40, na assist 20+ huyo hata akiwa kwenye timu yako akiondoka your doneWatabisha pamoja na kuja na Data.
Hii timu akitoka Messi na Bosquet ndio mwisho wao.
sidhan kama kuna mbadala wa messi dunia hiiWanatafuta mbadala wa Messi
Christian pulisic[emoji41][emoji13]sidhan kama kuna mbadala wa messi dunia hii
Barcelona ni Yanga iliyochangamka
Barcelona bila Lionel Messi katika mechi 6 za mashindano
Sare: 1-1 vs Inter Milan
Kipigo: 2-1 vs Levante
Kipigo: 2-0 vs Sevilla
Sare: 0-0 vs Huesca
Kipigo: 2-0 vs Celta Vigo
Kipigo: 1-0 vs Athletic Bilbao
Vipi huko mtaani kwenu ule ubishi kwamba barca wanambeba messi na sio messi anaibeba barca bado upo??
Barca bila messi ni kama real betis tu
Alikuwa anakamilisha usajil wa kwenda Bayern[emoji3][emoji3][emoji3]Barca bila.Messi ni Kama NYAU tu. Na walivyo wajinga wanajua messi hayupo badala ya kumpa countinho dimba awatembeze akina suar3z na grienman eti wakamuweka jukwaani.
Haturuhusu data kama hizi..Barca ikiwa na messi mechi za mashindano
Ac Rom vs barca 3-0
Liverpool vs barca 4-o
Bayern vs barca 4-0
Barca vs bayern 0-3
Kumbe umenielewa vizuri Kuna watu wengine wameshindwa kunielewa.Sasa huu ubebaji wake akaufanye na huko Argentina, critics wanaposema Barca inambeba Messi wanamaanisha Messi anafanya vizuri tu ndani Ya Barcelona na sio nje ya Barcelona sio huo mfano wako ulioweka!!
Sasa huu ubebaji wake akaufanye na huko Argentina, critics wanaposema Barca inambeba Messi wanamaanisha Messi anafanya vizuri tu ndani Ya Barcelona na sio nje ya Barcelona sio huo mfano wako ulioweka!!
Waende jupitaWanatafuta mbadala wa Messi