Barcelona kimenuka, wako nyuma 1-0

ndyoko

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
4,971
Reaction score
1,652
Leo wamechoka kweli, sijui itakuwaje, dk ya 65 sasa wako nyuma 1-0
 
aibu...sasa hapa bwana jose, special one is 6 points clear na 12th december nipo ndani ya hispania kucheki game
 
sijui ya barca yatatukuta ngoja tuone don miss it tomorrow..
 
Hiyo ndo sawia wapate na wao uchungu wa kufungwa kwani wao wana haki miliki ya ushindi?
:A S 465::A S 465:
 
Barcelona asifungwe ye nani, but nazani hii ilitakiwa jukwaa la michezo, ila madrid awe makini asije akampa barcelona point zote home and away maana barcelona akicheza na team kubwa anakaza tofauti na akicheza na watoto, nakumbuka msimu uliopita alifungwa na rubin kazan kwenye group stage na alipita group kimagumashi uefa but team kubwa ziliona balaa lake zilipokutana nae on the road....
 
Wafungwe hata kumi..kwani matokeo yako yanakuathiri vip wewe mbongo? Sisi tubaki tu na maombolezo ya kipigo cha kil starz! Ya wahispania tuwaachie wao
 
Mungu ibariki R. Madrid walau msimu huu ipate Kikombe, Barca seems to be too much.
 
This is the good newz, sasa ni pointi sita clear
 
Wafungwe hata kumi..kwani matokeo yako yanakuathiri vip wewe mbongo? Sisi tubaki tu na maombolezo ya kipigo cha kil starz! Ya wahispania tuwaachie wao

ndo shida ya kuwaza na kutenda locally. Mtu wa aina yako hana la kujifunza maishani. huwa ni yule yule kisiasa, kiuchumi na kisoshali pia, na ktk hili unajua namaanisha nini! yaani mtu na akili zako unaiwazia stars, hii stars ya bongo. Aisee, nakusikitikia
 
Wafungwe hata kumi..kwani matokeo yako yanakuathiri vip wewe mbongo? Sisi tubaki tu na maombolezo ya kipigo cha kil starz! Ya wahispania tuwaachie wao

soka la Bongo presha tupu bora tushabikie hizo hizo za Ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…