Umejibu vizuri sana mkuu pia tactically coutinho anafaa style ya soka la barca ananyumbulika sana anaweza cheza style tpfauti ya Mpira tofauti na hazardCOUTINHO ni long term replacement ya Andres Iniesta anaezeeka kisoka ndio maana Barca imeshafika hadi dau la pauni zaidi ya milioni 130 kumnyakua kutoka Liverpool.
Naona walianza na Arda Turan lakini ikaonekana kama Arda Turan hawezi kuziba pengo la Andres Iniesta ambae umri umeenda
Hawezi elewa huyo jamaa kilaza sanaKwan majibu uliyojibiwa utakuwa umeelewa
Barca wanahitaji mchezaji na sio panya wa kuja kuwaambia wenzie wagome, muulize jose mou anamkumbuka vizuri huyo panyaHabari zenu wadau wa soka humu ndani!
Kuna kitu nafikiria je nyie mnakionaje? Hata kama hakiwezi kuwashawish wahusika,
Barcelona wamekua wakimtaka Philip coutinho wa Liverpool bila mafanikio mpaka sasa, ktokana na Liverpool kukataa offer yao.
Inaonekana Barcelona wanatafta kiungo mshambuliaji ili kuzipa nafasi ya Neymar.
Lakini england kna watu wanauwezo hata zaidi ya coutinho, mfano nzuri Edan hazard ambae pia ni kiungo mshambuliaji.
Je kwanini nguv wanayitumia kumuwinda coutinho wasiihamishie kwa hazard!?
Maoni wadau.
Suala si ubora wa mchezaji binafsi. Ni namna atakavyo fit kwenye mfumo wa timu nzima. Hilo moja. Pili, pale kuna mfalme Messi, wengine lazima wakubali kuwa second best. Hazard atakubali?Habari zenu wadau wa soka humu ndani!
Kuna kitu nafikiria je nyie mnakionaje? Hata kama hakiwezi kuwashawish wahusika,
Barcelona wamekua wakimtaka Philip coutinho wa Liverpool bila mafanikio mpaka sasa, ktokana na Liverpool kukataa offer yao.
Inaonekana Barcelona wanatafta kiungo mshambuliaji ili kuzipa nafasi ya Neymar.
Lakini england kna watu wanauwezo hata zaidi ya coutinho, mfano nzuri Edan hazard ambae pia ni kiungo mshambuliaji.
Je kwanini nguv wanayitumia kumuwinda coutinho wasiihamishie kwa hazard!?
Maoni wadau.
Harzd mzeeee????? DuuuuuHAZARD NI MZEE PIA NI WINGA.
TUNAMTAKA COUTINHO
1. NI MDOGO KIUMRI
2. ATAMUDU NAFAS YA INIESTA
3. NI KIUNGO MSHAMBULIAJI
4. ANAMUDU MPIRA WA BASA
[emoji3] [emoji2] [emoji3] mnaonekana mna ugomvi nyinyHawezi elewa huyo jamaa kilaza sana
We jamaa hauko serious aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa maoni yangu barca i ahitaji kiungo aina ya Mussa Dembele wa spurs. Jamaa ana skill, nguvu, na pumzi pia. Aina ya soka la barcelona jamaa anafit.
Haya ni maoni yangu
Kwa nini mkuu.We jamaa hauko serious aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Barca wanahitaji mchezaji na sio panya wa kuja kuwaambia wenzie wagome, muulize jose mou anamkumbuka vizuri huyo panya
Ni miongoni mwa watu walionifanya niachane na kuishabikia Chelsea ,mpaka atakapouzwa na panya wengine wawili pale..Kwa hiyo hazard ni kiongozi wa migomo?
Eden Hazard mpira wake sio wa kibaselona, yeye Real inamfiti zaidi. Mpira wa barca sio makaunta ataki. Hazard ni winga, barcelona mpira wao tik tak hawategemei mawinga sana.Habari zenu wadau wa soka humu ndani!