Barcelona mwisho wake leo umefika

jjz

Senior Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
133
Reaction score
75
Wanajamii Leo naona Barca wanaaga mashindano ya UEFA kibibi kizee kina nafasi ya kufanya vizuri labda wabebwe kama mechi yao na PSG.
 
Weka akiba ya maneno....ktk macho ya PSG Kna Jamaa alisema hvyo mwisho wa Siku wakati mpira unakaribia isha Jamaa sikumuona

Ova
 
Reactions: SDG
Wonders itahappen again,barca si wa mchezo wakiwa uwanja wao nou camp
 
Reactions: SDG
Usije ukajiteka baada ya mpira kuisha mkuu urudi
 
Reactions: SDG
Tokea msimu huu uanze Juventus wamefungwa goli mbili tuu..
 
Reactions: SDG
" # if we score the first goal, the second will be scored by camp nou and the third,fourth and fifth will Come by itself " luis enrique said
 
Na lengo letu leo kushinda goal 5,nikushambulia,shambulia,shambulia tu, tukimpuzika ,tunashambulia tena!!
 
Reactions: SDG
Hilo lilitegemewa. Bahati haiwezi kujirudia bali humwangukia mwingine na ndo maana jana Real Madrid imewakuta maana wamepita kwa msaada mkubwa wa Refa kwa red card isiyostahili kwa Bayern na magoli mawili ya offside za wazi kabisa. Kuna wkt tunalaumu marefa wetu lkn naona wanajitahidi sana maana kwa jana ilikuwa zaidi hata ya mechi za daraja la tatu kwa TZ. Uzur wa wenzetu ni kuwa wanajifunza na kurekibisha timu zao kwa misimu inayofuata ili kufanya vzr
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…