TzComedy
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 890
- 700
Nanga Chimbenga ni neno la kimakonde lenye maana sawa na Hakuna kinachoniletea Madhara, ama iwe ni chakula/ kitafunwa/ kitoweo/kinywaji na n.k, hakuna ubishi kuwa ktk maisha yetu tunayoishi, baadhi yetu kuna aina ya vyakula/ vitafunwa na hata vinywaji huwa vinatuletea Madhara mfano kuharisha, tumbo kuuma na vitu kama hivyo, lkn kwa wengine hicho kitu huwa hakiwatokei kabisa, sasa kile kitendo cha mtu kula/kutafuna/kunywa chochote ikawa hakimletei Madhara, ndipo unapopatikana msemo wa Kimakonde "Nanga Chimbenga"
Sasa kama nimeeleweka, naomba kwa ruhusa yenu hili neno nanga chimbenga niwape hawa Barcelona.
Sasa kama nimeeleweka, naomba kwa ruhusa yenu hili neno nanga chimbenga niwape hawa Barcelona.