mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,433
Mkubwa tupia matokeo wengine tupo mbali na tvNimecome close kwa prediction niliofanya 3 hours ago. Nilipredict barcelona wangeshinda kwa bao mbili au zaidi na kutakua na red card. Nadhani nimefeli kwa asilimia ndogo
Tazama apa
Aseno kapigwa kwake mbili bilaMkubwa tupia matokeo wengine tupo mbali na tv
Arsenal kaliwa viwili na mnyama messiMkubwa tupia matokeo wengine tupo mbali na tv
Yaah walikuwa wame relax sana hiki kitu kilikuwa wazi.Baca walikuwa wanacheza kama wapo kwenye mazoezi Baca under 17.
Hapa ndo unaona wazi jinsi mpira wa Uingereza ilivyo bado mbichi mbele za timu za Spain, kuna gap kubwa sana!Yaah walikuwa wame relax sana hiki kitu kilikuwa wazi.
Yaah sanaa ya mpira ilionekana ni kama tyson na great muhammad ali mmoja alikuwa anakupiga na mashabiki wanapata ladha ya mchezo waqt mwingine yeye hata ngumi moja inamaliza game.Hapa ndo unaona wazi jinsi mpira wa Uingereza ilivyo bado mbichi mbele za timu za Spain, kuna gap kubwa sana!
Ujerumani naona nao wakali vilevile!
Ila usimu-underestimate mjeruman. Huyu ni mtu mwingine. Anaeza akakuzika ukiwa na 4 bila unaongoza aggregive, muulize huyu huyu arsenal anajuaYaah sanaa ya mpira ilionekana ni kama tyson na great muhammad ali mmoja alikuwa anakupiga na mashabiki wanapata ladha ya mchezo waqt mwingine yeye hata ngumi moja inamaliza game.
The great ali alikuwa ana entertain mashabiki na ushindi anapata tyson duh ndio hao wajeremani au waingereza wenyewe ushindi tu.
Barca noma sana subiri arsenal warufi nu camp watakavooga magoli
Hakuna anae dharau jeremani ila tunazungumzia mfumo wao si watu wa kufurahisha wenyewe kukupa suckerpunch hawachelewi si watu wa kubembeleza ila hawana plan b tofauti na Barcelona ambao muda mwingi wanakuwa na mpira aidha wakupige counterattack au wakubembeleze kwa kupenyeza mpira huku wame relax kama wapo mazoezini.Ila usimu-underestimate mjeruman. Huyu ni mtu mwingine. Anaeza akakuzika ukiwa na 4 bila unaongoza aggregive, muulize huyu huyu arsenal anajua
Athletic kadroo duu madogo wamekaza
Athletic kadroo duu madogo wamekaza