</p>msihame tu timu zenu
yaani messi kuanguka chini ni kazi kweli!
eee bana, z history of 6-0 is coming back! DuhDuuuh, manne
Heheh magazeti lazima yamponde sana kesho.Am waiting press conference baada ya hii mechi nimsikie Mmakonde anasemaje.
Huyu Ozil kwa nini hawezi kucheza dakika 90? Nilikuwa nategemea kumuona Gonzalo Higuian.
kipindi cha pili ronaldo hajagusa mpira!
uwezo tuReal wameuza mechi? Hivi ni kweli uwezo wao ni pasi moja tu na kupoteza mpira?
Real wameuza mechi? Hivi ni kweli uwezo wao ni pasi moja tu na kupoteza mpira?
wamezidiwawameuza au wamezidiwa mkuu?
ubabe mtupu sasa hivi mpaka mtu apate kadi nyekundu lol.