We Fabregas n heri tu ubaki na Profesa Wenger, unakotaka kwenda kwa sasa KUMEJAA!
Opta Sports wanasema Barcelona ndio timu ya kwanza kufunga timu inayofundishwa na Mourinho zaidi ya magoli matatu kwenye competition zote.
Watupe mourhino live basi akijibu maswali lol.