Barcelona Wenzangu Hebu Tutete Kidogo

Barcelona Wenzangu Hebu Tutete Kidogo

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Sijalala hadi saa 9 usiku huu sijaamini kilichotokea,hivi kweli?
Tukubali hapa tumefungwa kizembe japo uwezo tulikua nao,sababu nilioziona
(1) Over confidence-tuliamini kuwa game
Ile ilishakwisha,tukacheza kwa Ku relax
Liver wao wakacheza Do or Die....
(2) Ubaguzi Wa kuwatenga wac
hezaji weusi nayo imetukosti,Dembele
japo alikua majeruhi Ila anatengwa na
ndio kisa walimpanga mechi ya ligi isiy
o na tija akaumia..tumemkosa Jana
Semedo anaingizwa baada ya kuona
mambo yashaharibika wakati dogo an
ajituma mno.
(3). Ule Uzi Wa njano ni mikosi Siku zote .

(4). Kuna baadhi ya wachezaji wengi ni m
Mizigo sijui wanasajiri vipi?
Lenglet,Arthur,Suarez, G.Pique hawa ni
Bora wauzwe wote tumrudishe
Neymar mmoja ni wazito sana hawa,akina boateng,tornado,vermalen,yule mbrazil kwanini waliletwa ikiwa uwezo chini?
Nimeumia sana kupoteza tonge mdomoni na kwa hili na uzembe wote huu kocha huyu anapaswa kujiuzuru,Liver hawaamini kama wameshinda kila mtu haamini!!!
Vipi maoni yenu barca wenzangu?
 
umekuwa msemaji wa mashabiki wa liver tangu lini? binafsi niliamini barca pale anfield lazima afe.
Sio kweli 90%dunia nzima hawajaamini ndio maana hats wachezaji Wa liver wametoa machozi,sema ukweli
Na watu wameshindwa kutoka uwanjani mpira ulivyoisha sio anfield sio Tanzania kwenye tv vibanda umiza hawaamini!
 
Sijalala hadi saa 9 usiku huu sijaamini kilichotokea,hivi kweli?
Tukubali hapa tumefungwa kizembe japo uwezo tulikua nao,sababu nilioziona
(1) Over confidence-tuliamini kuwa game
Ile ilishakwisha,tukacheza kwa Ku relax
Liver wao wakacheza Do or Die....
(2) Ubaguzi Wa kuwatenga wac
hezaji weusi nayo imetukosti,Dembele
japo alikua majeruhi Ila anatengwa na
ndio kisa walimpanga mechi ya ligi isiy
o na tija akaumia..tumemkosa Jana
Semedo anaingizwa baada ya kuona
mambo yashaharibika wakati dogo an
ajituma mno.
(3). Ule Uzi Wa njano ni mikosi Siku zote .

(4). Kuna baadhi ya wachezaji wengi ni m
Mizigo sijui wanasajiri vipi?
Lenglet,Arthur,Suarez, G.Pique hawa ni
Bora wauzwe wote tumrudishe
Neymar mmoja ni wazito sana hawa,akina boateng,tornado,vermalen,yule mbrazil kwanini waliletwa ikiwa uwezo chini?
Nimeumia sana kupoteza tonge mdomoni na kwa hili na uzembe wote huu kocha huyu anapaswa kujiuzuru,Liver hawaamini kama wameshinda kila mtu haamini!!!
Vipi maoni yenu barca wenzangu?

Watu ni wepesi sana wa kusahau matukio. Mnajuwa Barca kabla ya Messi haikuwa timu ya maana Ulaya, walikuwa ni vibonde mno kila timu ilikuwa inajpigia tu. Messi ndiye aliyeifanya Barca kuwa ilivyo hivi sasa, kama hachezi vizuri Barca hakuna kitu. Jana aliyumba sana na alidhibitiwa ile mbaya. Kwa kifupi, Barca bila Messi si timu.
 
Sijalala hadi saa 9 usiku huu sijaamini kilichotokea,hivi kweli?
Tukubali hapa tumefungwa kizembe japo uwezo tulikua nao,sababu nilioziona
(1) Over confidence-tuliamini kuwa game
Ile ilishakwisha,tukacheza kwa Ku relax
Liver wao wakacheza Do or Die....
(2) Ubaguzi Wa kuwatenga wac
hezaji weusi nayo imetukosti,Dembele
japo alikua majeruhi Ila anatengwa na
ndio kisa walimpanga mechi ya ligi isiy
o na tija akaumia..tumemkosa Jana
Semedo anaingizwa baada ya kuona
mambo yashaharibika wakati dogo an
ajituma mno.
(3). Ule Uzi Wa njano ni mikosi Siku zote .

(4). Kuna baadhi ya wachezaji wengi ni m
Mizigo sijui wanasajiri vipi?
Lenglet,Arthur,Suarez, G.Pique hawa ni
Bora wauzwe wote tumrudishe
Neymar mmoja ni wazito sana hawa,akina boateng,tornado,vermalen,yule mbrazil kwanini waliletwa ikiwa uwezo chini?
Nimeumia sana kupoteza tonge mdomoni na kwa hili na uzembe wote huu kocha huyu anapaswa kujiuzuru,Liver hawaamini kama wameshinda kila mtu haamini!!!
Vipi maoni yenu barca wenzangu?
Kupambana kwa njia ya Do or Die sio mchezo. Yani unakuwa umeshauvaa ushindi ili hali mazingira yote yanakataa. Ni kweli moyo unauma, ila somo nimepata.
 
Kuhusu la wachezaji eti wauzwe hilo hapana ila kuhusu jezi ni kweli tuna mkosi nazo. Na wachezaji weus ni kweli ubaguz upo wa waziwazi na hata Dembele tunamuona anacheza hovyo ni sababu wanamsugulisha benchi sana

Siwez kulaumu magoli mawili ya mwisho sababu ni makosa ya kimpira ila goli la kwanza na la pili yote ni uzembe wa mabeki sababu mara zote wamekuwa wakirudisha mpira nyuma pasipo maana

Lingine kuna nafas adimu zilijitokeza za wazi kipind cha kwanza ila wote wanaogopa kupiga wanamsubiri had wampe Messi apige

Kuhusu Messi alijitahd japo bahat haikuwa yake japo alipata nafas moja ya wazi badala ya kupiga yeye anaupaka mpira rangi

HITIMISHO tujipange kwa msimu ujao ila Barca itabakia kuwa club bora duniani na Messi atabakia kuwa mchezaji hatar kuwahi tokea duniani japo tumetoka kizembe
 
Mleta mada inaonekana wwe n shabik wa dotcom huijui historia ya liverpool liver kupindua matokeo n kawaida yetu mkuu tumefanya hvyo zaid ya mara 5 mm nazokumbuka mfano mdogo n 2005 uefa final tulipigwa 3-0: na ac milan kpind cha kwanza na tukapindua matokeo cha ajabu ilikuingia robo final msimu huo tulimfunga barca
 
Wakuu!ndio tushapoteza hivyo,haina haja ya kuanza kublame hiki na kile.ile chance ya dembele nilijua itatucost mwaka mzima asee.na jana ilikuwa ni hivyo hivyo watu wanamiss clear chance.huu ndio mpira sasa huwezi kushinda daily ni must kuna siku bahati haitodondoka upande wako,SO KEEP IT UP BARCA 💪🏿💪🏿💪🏿.
 
NAMSALIMIA TU ANDUNJE MWENZENU "BLACKPANTHER" MAANA ANA MAHABA SANA KWA MESSI KULIKO HATA MUNGU NA WAZAZI WAKE[emoji113][emoji87]
 
Wana Barca,mnaweza kujadili ile mechi ya kwanza??Mimi niliona Barcelona alipata matokeo bora lakini ukitizama game nzima Barca ilikuwa dhaifu sana,Kuna wakati Barca alizidiwa possession kubwa tu,kuna wakati Barca ilipaki basi,Barca walicheza dk 20 tu za mwisho.Udhaifu ulikuwapo tangu game ya mwanzo ila matokeo yalifunika udhaifu
 
Back
Top Bottom