Msimu huu sizani Kama watafanya vizuri imekuwa ikimtegemea mess zaidi hii imechangiwa na kocha wao kuwa mbovu ukiangalia team ya Barcelona Ina timu nzuri Sana Bila hata kuwa na mess wanawatu Kama griezman, dembele,Suarez,basquet,na yule kiungo wa Ajax, pique,umititi,Alba,Denis Suarez n.k na walikuwa pia wana watu Kama coutinho,ivan rakitic lakini kocha alishindwa kuwatumie vizuri ndo maana wanaonekana hawana thamani ndo maana umeona coutinho wamempeleka Bayern.