Barcelona without mess is equal to Argentina with mess

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Msimu huu sizani Kama watafanya vizuri imekuwa ikimtegemea mess zaidi hii imechangiwa na kocha wao kuwa mbovu ukiangalia team ya Barcelona Ina timu nzuri Sana Bila hata kuwa na mess wanawatu Kama griezman, dembele,Suarez,basquet,na yule kiungo wa Ajax, pique,umititi,Alba,Denis Suarez n.k na walikuwa pia wana watu Kama coutinho,ivan rakitic lakini kocha alishindwa kuwatumie vizuri ndo maana wanaonekana hawana thamani ndo maana umeona coutinho wamempeleka Bayern.
 
Valvede ni kama Magu pamoja na kuwa na kila kitu bado atauza mamba na viboko.

Barca tatizo siyo wachezaji tatizo ni uongozi.

Chukulia mfano wa Tanzania, kwa rasilimali zote walizonazo bado hawajaendelea.

Shida ya Barca ni uongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…