wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Hiki kipondo, tena home, kinatia KINYAAAA!Naona ile Barce ya kuanzia 2009 kama inarudi.
Ile Barca ya moto iliyomfanya Fergie atetema.
Naona leo Madrid anateseka mno.
Utawala wao unaanza kurejea.
Unazungumzia PSG iliyotolewa na Madrid au nyingine?Bado sana kuiamini barca saivi
Kipimo ni champions league
Mfano Mzuri PSG
Barcelona sio ya kufanamishwa na hao wapuuziBado sana kuiamini barca saivi
Kipimo ni champions league
Mfano Mzuri PSG
Simba nyanaume umetoa boko [emoji1787][emoji1787]Barcelona ni Newcastle iliyochangamka