Barcelona yamfuta kazi Xavi Hernàndez

Chance ndoto

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
4,363
Reaction score
10,265
Aliyekuaa kocha wa Miamba ya Hispania, Xavi Hernàndez leo asubuhi ameachishwa kazi na rais wa Miamba hiyo Joan la Porta imeripotiwa Xavi na mchezaji muhimu wa zamani wa barcelona hatokua tena pale shimoni katika msimu ujao.

KWAHERI XAVI.
 
Hao ""BASA" wahuni. Jamaa alitangaza kuondoka, wakam'bembeleza abaki, akaamua kubaki, wamemtimuaa! Ni trick nzuri. Ukigundua mpenzio kuna dalili ya kukumwaga, jitahidi um bwage weweeee!
 
Hao ""BASA" wahuni. Jamaa alitangaza kuondoka, wakam'bembeleza abaki, akaamua kubaki, wamemtimuaa! Ni trick nzuri. Ukigundua mpenzio kuna dalili ya kukumwaga, jitahidi um bwage weweeee!
Dalili aliziona mapema kwamba hawezi kubaki, toka mwanzo wa mwaka huu aliongea kuhusu hatma yake kwamba ungekuwa msimu woke wa mwisho.
 
Xavi zile hasira katoa wapi 😆, hatulii kabisa mda wote kusimama,,, nadra sana ufundi wa ground kuhamishia pale benchini,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…