JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Kweli mchezo wa soka hautabiriki, Licha ya Barcelona kupewa nafasi kubwa lakini imeambulia kipigo cha magoli 3-1 kwenye Uwanja wa Camp Nou kutoka kwa PSG katika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Hivyo, PSG imefanikiwa kuingia Nusu Fainali kwa jumla ya magoli 6-4 kwa kuwa mchezo wa kwanza Barcelona ilishinda magoli 3-2.
Robo Fainali nyingine, Borrusia Dortmund imefanya kile ambacho hakikutegemewa na wengi, imeshinda magoli 4-2 dhidi ya Atletico de Madrid, hivyo kuingia Nusu Fainali kwa jumla ya magoli 5-4