Ni kozi nzuri kwa wenye kuendeleza,kukuza vipaji.wengi wamekariri 'kukata viuno'hiyo department imegawanyika ktk THEATRE ARTS,MUSIC,FINE ART.mwanafunzi akiingia anafanya specialization mojawapo tangu anapoanza.nashangaa wanaosema 'kukata viuno'kuna program km radio,tv production,designing etc.kazi zake pia zipo,za kujiajiri na kuajiriwa e.g maafisa utamaduni,wabunifu ktk uchoraji,textile design,studio instr. etc.ila wataalamu ni wachache ndio maana imekuwa km haionekani.nina watu niliomaliza nao pale udsm 2011'wapo ktk ajira,na ni wengi tu.tusifikiri ajira mpk iwe ya sociology,pub.adm,laws,accnt etc.vitu vingne ni 'technical'mi mwenzenu fine art inanipa maisha.