Barchelor ndio kitu gani?Barchelor of Arts with Education(B.A.E.D)
Barchelor ndio kitu gani?
= Barchelo.toa R utajua nn?
UCC Ndo chuo gan?
...wewe unadanganywa...
Jarib Dip.
Kwa matokeo yako,nakushauri ukachukue Diploma..sidhani kama utapata admission ya University..kila la kheri!!
jaman hivi vyuo vinajulikana na nani????
Mbona hapa jf raia wanafki xana tcu guide book inaxema minumum requirements za kujiunga na chuo ni two principals(EE)with 2.5 cut of points sasa nyie mnaosema hapati ndo mnapanga vyuo au acheni kujifanya much know nyie mafala kutukatisha tamaa vilaza 2 hamna jipya
sana sio xana, tu sio 2! Lugha za facebook ziache hukohuko afu kumbe ni form six leaver???
Still kwa matokeo niliyopata na ushauri kutoka kwenu nimeona nichukue B.A.E.D Lakini bado sijafika uamuzi wa selection ya chuo xo help me jamani!!
HIST-S
GEO-E
KISW-D
G.S-S
Still kwa matokeo niliyopata na ushauri kutoka kwenu nimeona nichukue B.A.E.D Lakini bado sijafika uamuzi wa selection ya chuo xo help me jamani!!
HIST-S
GEO-E
KISW-D
G.S-S