wazo zuri!! naomba nikujibu kama ifwatavyo......Kwa anayejua ajila za hii course anisaidie maana wengi wanadai ni ualimu tu. Je akuna option zingine maana me nimechaguliwa tu wakat siku apply so kama haina market naomba mnijuze ili niache kabisa kwenda chuo nifanye mambo yang mengne nisije nikapoteza tyme bure.
nashukuru ndugu wadau kwa michango yenu, kwa maelezo ya kina mliyonipa ntajitahidi kuisoma hii coz kwan huwez jua mungu kapanga nini mimi kupelekwa huku kwa mt mzoefu na hii course naomba maelezo kuhusu usomaji na utaratibu wake kwa ujumla ahsanteni
ahsanteni sana wadau. Vp mkuu songors nawe tko pamoja?