Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Fisadi wa kwanza ni yule ambae kila kitu anaona ni ufisadi tu. Hata biashara za watu zilizo halali kwa sheria za nchi, yeye huona ni ufisadi tu. Watu kama wewe huwa wachawi na hakuna ufisadi zaidi ya huo.Ila wanariba kali. Wamekuja kuwajali mafisadi.
Ungekuwaunafuatilia sakata la EPA kwenye vyombo vya habari ungegundua kuwa Barclays ndio waliozikaa hizi pesa zikaenda kwenye bank ya kizalendo CRDB.Ila wanariba kali. Wamekuja kuwajali mafisadi.
mchawi utakuwa wewewewe huwa wachawi na hakuna ufisadi zaidi ya huo.
NMB huku mikoani ni balaa! Nimefungua akaunti yangu mwezi April mwaka huu na kufahamishwa kuwa ATM card ningepewa baada ya mwezi mmoja. Nimeenda mwanzoni mwa June, nimeambiwa card bado haijafika nisubiri. Hii ndiyo karne ya sayansi na tekelinalokujia!
Fisadi wa kwanza ni yule ambae kila kitu anaona ni ufisadi tu. Hata biashara za watu zilizo halali kwa sheria za nchi, yeye huona ni ufisadi tu. Watu kama wewe huwa wachawi na hakuna ufisadi zaidi ya huo.
Karibu CRDB,a bank that listensUsinikumbushe experience ya NMB! Hii bank sijui kama wana customer care department! nilipoteza card yangu ya ATM nillipata after like 4months pata picha nilikuwa napanga foleni kuchukua hela ya mshahara! nilivyoipata tu ile card in weeks ikagoma kusoma kwenye ATM! nilivyokuwa nafikiria ile adha ya kuipata niliishiwa nguvu, nikaenda kuwaambia haisomi yule niliyemkuta ndo aliyenipa ile ile card alisemesha vibaya eti now cha moto utakiona coz umeweka sijui kwenye wallet imechubuka! nilienda counter na kudraw every thing na kuacha salio la ac tu sijarudi huko tena! bank zingine!
Karibu CRDB,a bank that listens