Barclays Bank kuwa ABSA Bank kwa Afrika

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,655
Reaction score
2,506
Bank za Barclays barani Afrika kubadilishwa jina na sasa kuwa ABSA bank, hii ni baada ya Barclays ya Uingereza kuamua kuachana na biashara ya Africa na kuuza hisa zao nyingi za Barclays Africa.

 
Mkuu hii haitaathiri mkopo tulioomba kupitia kwa Waziri wetu Dr. Mpango?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…