barclays bank:MENGI HAJATUIBIA WALA HANA ACC NA SISI

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Mkurugenzi wa bank ya baclays dar es salaam amelipa gazeti la sauti ya watu siku saba kuomba radhi kwa kicha cha habari "MENGI AIIBIA BACLAYS"....
limeichafua ofisi yetu na kuonekana tunaibiwa ovyo tofauti na hali halisi
katika taarifa yake kwa vyombo vya habari amesema anashangaa sana kuona magazeti ya sikuhizi tena mengineyo mapya yanaandika taarifa wasiokuwa na uhakika nazo.,habari zaidi zinasema kuwa mkurugenzi huo amesema hata siku moja mengi hajawahi kuwa na acc baclaysa,inasikitisha sana kuona watu wanaandika vitu ..wasivyokuwa naovyo na uhakika..lazima waombe radh vinginevyo tutawachukulia hatua na watakuwa wanawachezea kila mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…