Elections 2010 Baregu aliwaambia Tanzania haina wapigakura 19,600,000 wakabisha.

Tumejifunza nini kwenye uchaguzi wa 2010.
1. Je daftari la wapiga kura liko sahihi? Tusingoje mpaka uchaguzi ujao. Lifanyiwe uhakiki sasa.
2. Utangazaji ya matokeo ya wabunge na rais wa sasa unafaa? Tufanye nini kuboresha hili.
3. Vituo vya kupigia kura ? Je vituo hivi zilijulikana lini? Ni vizuri vikajulikana mapema (kama meizi mitatu) na uhakiki ya wapiga kura ufanyike wakati huo.
4. Utaratibu wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo ujulikane mapema. Kama kuna software itakayotumika ijulikane mapema (kwa Vyama vyote) na mafunzo kwa watumiaje na pamoja kuwa na vifaa vizuri(specs).
5. Uwezo wa wafanyakazi wa NEC? Wanahuelewa wa system yao ya uchaguzi na mapungufu yake na exposure wa chaguzi nchi nyigine.
 
NEC is a big mess, a big shame, very partisan, incompetent and very backward. We don't want this very same NEC to conduct 2015 elections otherwise the country will be on fire! We saw what happened in Mwanza, Tandika, etc. Once bitten twice shy.
 
Mkurugenzi wa NEC Bw. Rajabu Kiravu alipoulizwa kuhusu hilo alijibu kuwa hajui ni kwanini watu wengi hawajapiga kura....Hii ni staili ile ile ya JK hata mie sijui kwanini watanzania ni masikini licha ya kujaliwa kila aina ya rasilimali.
 

Nilitegemea watu kama hao wajue umuhimu wa kupiga kura...Wangeelewa kwamba siasa mara nyingi ndo inatengezeneza mustakabali wa hizo professional zao wasingelala siku muhimu kama hiyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…