Pre GE2025 Bariadi: CHADEMA haikusubiri mwaka Upauke. Yaanza vikao vya Ushindi haraka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sijakusoma mkuu, embu tupe Maelezo kidg
 
Ndugu Mbona kila siku tunakaa vikao vya kila aina, na hatubalishi lolote, tunachobadilisha NI mbinu za kelele majukwani, na wapaaza kelele zetu na kebehi NI wale wale tuu.

Hebu ona wakati Lissu na Lema waendapo kwa watoto wao Canada na Belgium, kelele na kebehi zinapungua, kwani HECHE anabaki peke yake, ila siku HIZI nao MK kaanza kumtengeneza BONI YAI naye aweza mpaaza kelele.
 
Kama inauma chomoa chomeka panapostahili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Labla kubadilisha uongozi wa familia zao
 
Chadema inasindana na chama gani Sasa?, Mbowe juzi ametoa hongo kwa kabisa ili Samia achaguliwe!. Au ndio tabia chafu za mbowe na kundi lake kutumia watu kijinga?, Nitaendelea kuwa mwanachama wa chadema endapo mbowe atatupisha.

Kataa chadema chini ya mbowe... Ni CCM B matapeliii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…