Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Bariadi Mpoooo!!!Wala haikuwa kazi ngumu kuwaelimisha watu wa Bariadi kuhusu Mpango huu, hii ni kwa sababu hakuna Mahali popote kwenye Nchi hii ambako hakuna Makaburi ya wanachadema waliouawa kwa sababu ya Uchaguzi.
Kwahiyo kilichofanyika ni kuwaonyesha tu Makaburi hayo na watu wakaelewa kwamba kumbe mpango huu ni kuzuia Mauaji, ni Mpango mwema sana
View attachment 3334930View attachment 3334932View attachment 3334934View attachment 3334937
Labda nikuulize Erythrocyte, baada ya kuwaelimisha hao Watanzania, je Uchaguzi Mkuu HAUTAFANYIKA?Wala haikuwa kazi ngumu kuwaelimisha watu wa Bariadi kuhusu Mpango huu, hii ni kwa sababu hakuna Mahali popote kwenye Nchi hii ambako hakuna Makaburi ya wanachadema waliouawa kwa sababu ya Uchaguzi.
Kwahiyo kilichofanyika ni kuwaonyesha tu Makaburi hayo na watu wakaelewa kwamba kumbe mpango huu ni kuzuia Mauaji, ni Mpango mwema sana
View attachment 3334930View attachment 3334932View attachment 3334934View attachment 3334937
Wale wanaohama kila siku ni akina nani?Wala haikuwa kazi ngumu kuwaelimisha watu wa Bariadi kuhusu Mpango huu, hii ni kwa sababu hakuna Mahali popote kwenye Nchi hii ambako hakuna Makaburi ya wanachadema waliouawa kwa sababu ya Uchaguzi.
Kwahiyo kilichofanyika ni kuwaonyesha tu Makaburi hayo na watu wakaelewa kwamba kumbe mpango huu ni kuzuia Mauaji, ni Mpango mwema sana
View attachment 3334930View attachment 3334932View attachment 3334934View attachment 3334937
HautafanyikaLabda nikuulize Erythrocyte, baada ya kuwaelimisha hao Watanzania, je Uchaguzi Mkuu HAUTAFANYIKA?
Ahahahahaha!! Ahahahahaha!! Ahahahahaha!! Ahahahahaha!!Hautafanyika
Uchaguzi utafanyika ila nyie ndo hamtohusika, Acha bangi kuchanganya mambo.Hautafanyika
Labda nikuulize Erythrocyte, baada ya kuwaelimisha hao Watanzania, je Uchaguzi Mkuu HAUTAFANYIKA?
Kwani UMESHAFANYIKA?Mbona unaleta "no future election tense"?Nimekujibu kisayansi.Soma kwa utulivu.Labda nikuulize Erythrocyte, baada ya kuwaelimisha hao Watanzania, je Uchaguzi Mkuu HAUTAFANYIKA?
Inawezekana wakatangazana nani mshindi lakini hakutakuwa na UchaguziAhahahahaha!! Ahahahahaha!! Ahahahahaha!! Ahahahahaha!!
Itunze sana hii reply yangu!
Kwa nini mnapenda ukinyume!!?Ahahahahaha!! Ahahahahaha!! Ahahahahaha!! Ahahahahaha!!
Itunze sana hii reply yangu!
Bila shaka unaupenda sana USHOGA sio?Kwa nini mnapenda ukinyume!!?
Nimeweka maandishi yako kwenye matamshi, nilichokipata ni GROK kuniambia kuwa huo ni ushoga!!
Utafanyika UCHAFUZI sio UCHAGUZI.je Uchaguzi Mkuu HAUTAFANYIKA?
Hebu mthubutu kuacha kuingiza kura bandia mjionee uhalisia halisi kabisaLabda nikuulize Erythrocyte, baada ya kuwaelimisha hao Watanzania, je Uchaguzi Mkuu HAUTAFANYIKA?
Ambao utakuwa halali kwa miaka mitano ijayo sio?Utafanyika UCHAFUZI sio UCHAGUZI.
Mnielekeze kwa upole tu hivi Hawa wanao jiondoa CHADEMA mbona wanajitoa kwa makundi makundi kwanini hawatangazi siku Moja kua tumejitoa wote hiii ya kutangaza kwa awanu imekuwaje?Bariadi Mpoooo!!!