mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Ni kumuomba Mungu ajali pia zinaepukikaHuu mwezi unatisha. Nimeahieisha Safari zangu Hadi hapo baadae kwa vile ajali ni karibu kila siku mwezi huu.
Hizi sienta..probox, ndio zinatumika sana njia hiyo kama usafiri wa haraka shy tu mwigumbi..maswa..bariadi..lamadi.Mchomoko ndio gari gani?
Mkuu naomba unifahamishe, hivi toka Mwigumbi to Bariadi via Maswa walishatandika "mkeka"?Hii barabara ya Lamadi mpaka Mwigumbi kupitia Bariadi na Maswa ni mkeka usio na magari hivyo inakuwa na kujiamini upo peke yako umakini unapotea.
Mkeka upo vizuri sana, isipokuwa kipande kidogo kama kilomita 5 kutoka Mwigumbi kwenda Maswa ndio Mkandarasi anamalizia.Mkuu naomba unifahamishe, hivi toka Mwigumbi to Bariadi via Maswa walishatandika "mkeka"?