ndo mambo ya mtoto washangazi eeeh!kuna ukweli wake mkuu!! Kuna watu hawajui hata kutumia hizo computer angalau hao wanaonekana wanajua jua kidogo sema sisi tunataka matokeo ndo presha inapanda inashuka. Ila hali ikoje mkuu huko?
Kuna ukweli wake mkuu!! kuna watu hawajui hata kutumia hizo computer angalau hao wanaonekana wanajua jua kidogo sema sisi tunataka matokeo ndo presha inapanda inashuka. Ila hali ikoje mkuu huko?
Wakuu nasikiliza BBC hapa, tume inadai haijatoa matokeo mpaka sasa kwa sababu software mpya ya kuload data za uchaguzi inawafanya wawe too slow. Kwa hiyo wamekubaliana na vyama husika kutumia mfummo wa zamani "Excel sheets"
Wanasema eti kuna vituo kama 700 kwa hiyo kujumlisha matokeo hayo na kupata matokeo yake inaweza kuwa kesho. Are these guyz serious????? Yaani kufanya 700 data entries inachukua muda gani???? Who do we have kwenye hii tume???????????? Yaani huu ni upuuzi usioelezeka!!!!!!!
Nyambala,
Hivi kweli unawaelewa watu wetu? Mwendo wa kudonoa mpaka ukurasa ujae ni kazi kweli kweli.
Nimemsikiliza hata mimi na inaelekea hayo matatizo ndiyo yamesumbua hata Ubungo kwa Mnyika.
Umesahau yale ya USA ya hanging, pregnant or dimpled chads? Ukiingiza technology kwenye hizi projects kubwa na ukichanganya na watu kukosa umakini, matatizo yanatokea.